Habari

Imewekwa: Nov, 27 2018

Waandisi wa TEMDO Watakiwa Kuongeza Kasi ya Ubunifu

News Images

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO Mhandisi Richard Mmari amewaagiza wahandisi wa ofisi yake kuongeza kasi ya ubunifu wa mitambo mbalimbali ili kuwasaidia wajasiriamali katika kutengeneza mitambo hiyo. Aliysema hayo katika kikao kazi cha watumishi wote Novemba 27,2018 kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa TEMDO Njiro Arusha.

"Wahandisi mliopo hapa nataka kila mwezi kuwe na michoro ya mashine iliyobuniwa isiyoungua mitano na iwafikie wajasiriamali ili waanze kutengeneza mashine mblimbali kutokana na michoro mliyotengeneza" alisema Mhandisi Mmari.

Aidha Mhandisi huyo aliwaasa..............................................................................................