Habari
Imewekwa:
Jul, 24 2019
Kamati Ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Taasisi ya TEMDO ilitembelewa na kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa ajili ya kukagua taarifa ya utekelezaji wa mradi namba 6260 kifungu cha 44 unaosimamiwa na TEMDO