Habari

Imewekwa: Sep, 13 2019

Eng. Prof. Frederick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO

News Images

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteuwa Eng. Prof. Fredric Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO)