Expelling oil from oil bearing seeds
Shelling maize seeds from the cobs
Mashine hii inatumika kukamua juisi kutoka kwenye matunda ya haina mbali mbali, kama vile Machungwa, Maembe, Mananasi, Zabibu n.k
Mashine hii ina zalisha kuni toka kwenye mabaki ya Mimea
Mtambo wa kuzalisha kuni na mkaa kutoka kwenye mabaki ya mimea
Mtambo huu una Kamua mafuta ya alizeti, ufuta na mbegu nyingine
Mtambo huu una tumika kuchoma na kuteketeza taka za hosipitali.
Mashine hii ina toa mafuta ya mchikichi kutoka kwenye matunda ya mchikichi
Mashine hii ina Pura matunda ya michikichi kutoka kwenye mkungu wake
Mashine hii inatenganisha na kutoa mbegu kwenye nyenya
Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO Prof. Frederick Kahimba anawakaribisha watu binafsi mashirika binafsi na mashirika ya uma na wafanyabiashara wote kwa ujumla...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amemteuwa Eng. Prof. Frederick Cassian Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...
Taasisi ya TEMDO ilitembelewa na kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kwa ajili ya kukagua taarifa ya utekelezaji wa mradi namba 6260 kif...
Mashine zinazotengenezwa na taasisi ya uhandisi na usanifu mitambo tanzania ni mashine bora sana na imara na zinazofaa kwa mazingira ya kitanzania kutokana na tekinolojia wanayotumia kutengeneza mashine hizo.